Genesis 35:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yakobo akasimika nguzo ya kumbukumbu juu ya kaburi la Raheli ambayo ipo mpaka leo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yakobo akasimamisha nguzo juu ya kaburi lake, ambayo hadi leo inatambulisha kaburi la Raheli.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yakobo akasimamisha nguzo juu ya kaburi lake, ndiyo nguzo ya kaburi la Raheli hata leo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yakobo akasimika nguzo ya kumbukumbu juu ya kaburi la Raheli ambayo ipo mpaka leo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Juu ya kaburi lake, Yakobo akasimamisha nguzo, ambayo mpaka leo inatambulisha kaburi la Raheli.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Juu ya kaburi lake, Yakobo akasimamisha nguzo, ambayo mpaka leo inatambulisha kaburi la Raheli.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yakobo akasimamisha nguzo juu ya kaburi lake, ndiyo nguzo ya kaburi la Raheli hata leo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yakobo akasimika nguzo ya kumbukumbu juu ya kaburi la Raheli ambayo ipo mpaka leo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yakobo akasimamaisha juu ya kaburi lake nguzo ya mawe, nayo nguzo hiyo iko juu ya kaburi la Raheli hata siku ya leo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakobo akasimamisha nguzo juu ya kaburi lake, ndiyo nguzo ya kaburi la Raheli hata leo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yakobo akasimika nguzo ya ukumbusho juu ya kaburi ya Rakeli ambayo iko mpaka leo.