Genesis 35:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Israeli akaendelea na safari yake na kupiga kambi yake baada ya kuupita mnara wa Ederi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Israeli akaendelea tena na safari yake na kupiga hema baada ya kupita Mnara wa Ederi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha akasafiri Israeli akapiga hema yake upande wa pili wa mnara wa Ederi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Israeli akaendelea na safari yake na kupiga kambi yake baada ya kuupita mnara wa Ederi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Israeli akaendelea tena na safari yake na kupiga hema mbele ya Ederi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Israeli akaendelea tena na safari yake na kupiga hema mbele mnara wa Ederi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha akasafiri Israeli akapiga hema yake upande wa pili wa mnara wa Ederi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Israeli akaendelea na safari yake na kupiga kambi yake baada ya kuupita mnara wa Ederi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Isiraeli akaondoka, akalipiga hema lake ng'ambo ya huko ya mnara wa Ederi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha akasafiri Israeli akapiga hema yake upande wa pili wa mnara wa Ederi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Israeli, ndiye Yakobo, akaendelea na safari yake na kupiga kambi yake ngambo ya munara wa Ederi.