Genesis 35:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoto wa kiume waliozaliwa na Bilha, mjakazi wa Raheli, walikuwa Dani na Naftali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana waliozaliwa na Bilha mjakazi wa Raheli walikuwa: Dani na Naftali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Bilha, kijakazi wa Raheli, ni Dani na Naftali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoto wa kiume waliozaliwa na Bilha, mjakazi wa Raheli, walikuwa Dani na Naftali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana waliozaliwa na Bilha mtumishi wa kike wa Raheli walikuwa: Dani na Naftali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana waliozaliwa na Bilha mtumishi wa kike wa Raheli walikuwa: Dani na Naftali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Bilha, kijakazi wa Raheli, ni Dani na Naftali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoto wa kiume waliozaliwa na Bilha, mjakazi wa Raheli, walikuwa Dani na Naftali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Biliha, kijakazi wake Raheli, ni Dani na Nafutali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Bilha, kijakazi wa Raheli, ni Dani na Naftali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana waliozaliwa na Biliha, mujakazi wa Rakeli, walikuwa Dani na Nafutali.