Genesis 35:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Na watoto wa kiume waliozaliwa na Zilpa, mjakazi wa Lea, walikuwa Gadi na Asheri. Hao ndio watoto wa kiume wa Yakobo, aliowazaa alipokuwa kule Padan-aramu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana waliozaliwa na Zilpa mjakazi wa Lea walikuwa: Gadi na Asheri. Hawa walikuwa wana wa Yakobo, waliozaliwa kwake akiwa Padan-Aramu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Zilpa, kijakazi wa Lea, ni Gadi na Asheri. Hawa ndio wana wa Yakobo aliozaliwa katika Padan-aramu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Na watoto wa kiume waliozaliwa na Zilpa, mjakazi wa Lea, walikuwa Gadi na Asheri. Hao ndio watoto wa kiume wa Yakobo, aliowazaa alipokuwa kule Padan-aramu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana waliozaliwa na Zilpa mtumishi wa kike wa Lea walikuwa: Gadi na Asheri. Hawa walikuwa wana wa Yakobo, waliozaliwa kwake akiwa Padan-Aramu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana waliozaliwa na Zilpa mtumishi wa kike wa Lea walikuwa: Gadi na Asheri. Hawa walikuwa wana wa Yakobo, waliozaliwa kwake akiwa Padan-Aramu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Zilpa, kijakazi wa Lea, ni Gadi na Asheri. Hawa ndio wana wa Yakobo waliozaliwa katika Padan-aramu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Na watoto wa kiume waliozaliwa na Zilpa, mjakazi wa Lea, walikuwa Gadi na Asheri. Hao ndio watoto wa kiume wa Yakobo, aliowazaa alipokuwa kule Padan-aramu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Zilpa, kijakazi wake Lea, ni Gadi na Aseri. Hawa ndio wana wa Yakobo, aliozaliwa huko Mesopotamia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Zilpa, kijakazi wa Lea, ni Gadi na Asheri. Hawa ndio wana wa Yakobo aliozaliwa katika Padan-aramu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na wana waliozaliwa na Zilpa, mujakazi wa Lea, walikuwa Gadi na Aseri. Hao ndio wana wa Yakobo, aliozaa alipokuwa kule Padani-Aramu.