Genesis 35:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yakobo na wanawe walipokuwa wanasafiri, Mungu aliwatia hofu wenyeji wa miji yote ya jirani hata hawakuthubutu kuwafuatia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakaondoka, na utisho wa Mungu ukaipata miji yote iliyowazunguka. Kwa hiyo hakuna aliyewafuatia wana wa Yakobo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakashika njia, hofu ya Mungu ikaishika miji iliyowazunguka, wala hawakuwafuata wana wa Yakobo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yakobo na wanawe walipokuwa wanasafiri, Mungu aliwatia hofu wenyeji wa miji yote ya jirani hata hawakuthubutu kuwafuatia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakaondoka na hofu ya Mungu ikawapata miji yote iliyowazunguka kwa hiyo hakuna aliyewafuatia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakaondoka, na hofu ya Mungu ikawapata miji yote iliyowazunguka. Kwa hiyo hakuna aliyewafuatia wana wa Yakobo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakashika njia, hofu ya Mungu ikaishika miji iliyowazunguka, wala hawakuwafuata wana wa Yakobo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yakobo na wanawe walipokuwa wanasafiri, Mungu aliwatia hofu wenyeji wa miji yote ya jirani hata hawakuthubutu kuwafuatia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoondoka, kitisho cha Mungu kikaiguia ile miji yote iliyowazunguka, wasiwakimbize wana wa Yakobo na kuwafuata.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakashika njia, hofu ya Mungu ikaishika miji iliyowazunguka, wala hawakuwafuata wana wa Yakobo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yakobo na wana wake walipokuwa wakisafiri, Mungu akawatia hofu wenyeji wa miji yote ya jirani hata hawakusubutu kuwafuatilia.