Genesis 36:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Elifazi alikuwa na suria jina lake Timna. Huyu alimzalia mwana, jina lake Amaleki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Elifazi mwana wa Esau alikuwa pia na suria aliyeitwa Timna, aliyemzalia Amaleki. Hao walikuwa wajukuu wa Ada mke wa Esau.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Timna alikuwa suria wa Elifazi, mwana wa Esau; naye akamzalia Elifazi Amaleki. Hao ndio wana wa Ada, mkewe Esau.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Elifazi alikuwa na suria jina lake Timna. Huyu alimzalia mwana, jina lake Amaleki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Elifazi mwana wa Esau alikuwa pia na suria aliyeitwa Timna, ambaye alimzalia Amaleki. Hawa ndio waliokuwa wajukuu wa Ada mke wa Esau.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Elifazi mwana wa Esau alikuwa pia na suria aliyeitwa Timna, ambaye alimzalia Amaleki. Hawa ndio waliokuwa wajukuu wa Ada mke wa Esau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Timna alikuwa suria wa Elifazi, mwana wa Esau; naye akamzalia Elifazi Amaleki. Hao ndio wana wa Ada, mkewe Esau.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Elifazi alikuwa na suria jina lake Timna. Huyu alimzalia mwana, jina lake Amaleki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Timuna alikuwa suria yake Elifazi, mwana wa Esau; akamzalia Elifazi Amaleki. Hawa ndio wana wa Ada, mkewe Esau.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Timna alikuwa suria wa Elifazi, mwana wa Esau; naye akamzalia Elifazi Amaleki. Hao ndio wana wa Ada, mkewe Esau.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Elifazi alikuwa na habara, jina lake Timuna. Huyu alimuzalia mwana, jina lake Amaleki.