Genesis 36:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basemathi, mkewe Esau, alimzaa Reueli. Watoto wa kiume wa Reueli walikuwa Nahathi, Zera, Shama na Miza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Reueli ni: Nahathi, Zera, Shama na Miza. Hao walikuwa wajukuu wa Basemathi mkewe Esau.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hawa ni wana wa Reueli, Nahathi, na Zera, na Shama na Miza. Hao walikuwa wana wa Basemathi, mkewe Esau.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basemathi, mkewe Esau, alimzaa Reueli. Watoto wa kiume wa Reueli walikuwa Nahathi, Zera, Shama na Miza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Reueli ni: Nahathi, Zera, Shama na Miza. Hawa ndio waliokuwa wajukuu wa Basemathi mkewe Esau.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Reueli ni: Nahathi, Zera, Shama na Miza. Hawa ndio waliokuwa wajukuu wa Basemathi mkewe Esau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hawa ni wana wa Reueli: Nahathi, na Zera, na Shama na Miza. Hao walikuwa wana wa Basemathi, mkewe Esau.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basemathi, mkewe Esau, alimzaa Reueli. Watoto wa kiume wa Reueli walikuwa Nahathi, Zera, Shama na Miza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao hawa ndio wana wa Reueli: Nahati na Zera, Sama na Miza; hawa ndio wana wa Basimati, mkewe Esau.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hawa ni wana wa Reueli, Nahathi, na Zera, na Shama na Miza. Hao walikuwa wana wa Basemathi, mkewe Esau.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basemati, muke wa Esau, alizaa Reueli. Wana wa Reueli walikuwa Nahati, Zera, Sama na Miza.