Genesis 36:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, alimzalia Esau mumewe watoto wa kiume watatu: Yeushi, Yalamu na Kora.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Oholibama binti Ana, mkewe Esau, aliyekuwa mjukuu wa Sibeoni, aliomzalia Esau ni: Yeushi, Yalamu na Kora.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hawa ni wana wa Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, mkewe Esau; akamzalia Esau, Yeushi, na Yalamu, na Kora.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, alimzalia Esau mumewe watoto wa kiume watatu: Yeushi, Yalamu na Kora.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Oholibama binti Ana, mkewe Esau, aliyekuwa mjukuu wa Sibeoni, aliomzalia Esau ni: Yeushi, Yalamu na Kora.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Oholibama binti Ana, mkewe Esau, aliyekuwa mjukuu wa Sibeoni, aliomzalia Esau ni: Yeushi, Yalamu na Kora.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hawa ni wana wa Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, mkewe Esau; akamzalia Esau, Yeushi, na Yalamu, na Kora.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, alimzalia Esau mumewe watoto wa kiume watatu: Yeushi, Yalamu na Kora.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao hawa ndio wana wa Oholibama, binti Ana, binti Siboni, mkewe Esau, aliomzalia Esau: Yeusi na Yalamu na Kora.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hawa ni wana wa Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, mkewe Esau; akamzalia Esau, Yeushi, na Yalamu, na Kora.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Oholibama, binti ya Ana, binti ya Sibeoni, alimuzalia Esau mume wake wana watatu: Yeusi, Yalamu na Kora.