Genesis 36:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafuatao ni wakuu wa makabila yaliyotokana na Esau. Elifazi, aliyekuwa mzaliwa wa kwanza wa Esau aliwazaa Temani, Omari, Sefo, Kenazi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hawa walikuwa wakuu miongoni mwa wazao wa Esau: Wakuu wa wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau ni: Temani, Omari, Sefo, Kenazi,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawa ndio majumbe wao wana wa Esau; wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau; jumbe Temani, jumbe Omari, jumbe Sefo, jumbe Kenazi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafuatao ni wakuu wa makabila yaliyotokana na Esau. Elifazi, aliyekuwa mzaliwa wa kwanza wa Esau aliwazaa Temani, Omari, Sefo, Kenazi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio waliokuwa wakuu miongoni mwa wazao wa Esau: Wakuu wa wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau ni: Temani, Omari, Sefo, Kenazi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio waliokuwa wakuu miongoni mwa wazao wa Esau: Wakuu wa wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau ni: Temani, Omari, Sefo, Kenazi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawa ndio majumbe wao wana wa Esau; wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau; jumbe Temani, jumbe Omari, jumbe Sefo, jumbe Kenazi,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafuatao ni wakuu wa makabila yaliyotokana na Esau. Elifazi, aliyekuwa mzaliwa wa kwanza wa Esau aliwazaa Temani, Omari, Sefo, Kenazi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hawa ndio majumbe wao wana wa Esau: Wana wa Elifazi, mwanawe wa kwanza wa Esau, walikua: Jumbe Temani, jumbe Omari, jumbe Sefo, jumbe Kenazi,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawa ndio majumbe wao wana wa Esau; wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau; jumbe Temani, jumbe Omari, jumbe Sefo, jumbe Kenazi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawa ndio wakubwa wa makabila yaliyotokana na Esau. Elifazi, aliyekuwa muzaliwa wa kwanza wa Esau alizaa Temani, Omari, Sefo, Kenazi,