Genesis 36:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Reueli, mwanawe Esau, aliwazaa Nahathi, Zera, Shama na Miza, kila mmoja wao akawa mkuu wa kabila lake. Hao wote ni watoto wa kiume wa Reueli katika nchi ya Edomu, waliotokana na Basemathi, mkewe Esau.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakuu wa wana wa Reueli, mwana wa Esau ni: Nahathi, Zera, Shama na Miza. Hawa ndio wakuu waliotoka kwa Reueli huko Edomu; walikuwa wajukuu wa kiume wa Basemathi mkewe Esau.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hawa ni wana wa Reueli, mwanawe Esau; jumbe Nahathi, jumbe Zera, jumbe Shama, jumbe Miza. Hao ndio majumbe waliotoka kwa Reueli katika nchi ya Edomu. Hao ni wana wa Basemathi, mkewe Esau.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Reueli, mwanawe Esau, aliwazaa Nahathi, Zera, Shama na Miza, kila mmoja wao akawa mkuu wa kabila lake. Hao wote ni watoto wa kiume wa Reueli katika nchi ya Edomu, waliotokana na Basemathi, mkewe Esau.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakuu wa wana wa Reueli, mwana wa Esau ni: Nathani, Zera, Shama na Miza. Hawa ndio wakuu waliotoka kwa Reueli huko Edomu, waliokuwa wajukuu wa kiume wa Basemathi mkewe Esau.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakuu wa wana wa Reueli, mwana wa Esau ni: Nahathi, Zera, Shama na Miza. Hawa ndio wakuu waliotoka kwa Reueli huko Edomu, waliokuwa wajukuu wa kiume wa Basemathi mkewe Esau.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hawa ni wana wa Reueli, mwanawe Esau; jumbe Nahathi, jumbe Zera, jumbe Shama, jumbe Miza. Hao ndio majumbe waliotoka kwa Reueli katika nchi ya Edomu. Hao ni wana wa Basemathi, mkewe Esau.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Reueli, mwanawe Esau, aliwazaa Nahathi, Zera, Shama na Miza, kila mmoja wao akawa mkuu wa kabila lake. Hao wote ni watoto wa kiume wa Reueli katika nchi ya Edomu, waliotokana na Basemathi, mkewe Esau.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao hawa ndio wana wa Reueli, mwana wa Esau: Jumbe Nahati, Jumbe Zera, Jumbe Sama, jumbe Miza. Hawa ndio majumbe wa Reueli katika nchi ya Edomu, nao ndio wana wa Basimati, mkewe Esau.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hawa ni wana wa Reueli, mwanawe Esau; jumbe Nahathi, jumbe Zera, jumbe Shama, jumbe Miza. Hao ndio majumbe waliotoka kwa Reueli katika nchi ya Edomu. Hao ni wana wa Basemathi, mkewe Esau.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Reueli mwana wa Esau, alizaa Nahati, Zera, Sama na Miza. Kila mumoja wao akiwa mukubwa wa kabila lake. Hao wote ni wana wa Reueli katika inchi ya Edomu, waliotokana na Basemati, muke wa Esau.