Genesis 36:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Esau alioa wake Wakanaani: Ada binti Eloni Mhiti, Oholibama binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Esau akaoa wake kutoka miongoni mwa wanawake wa Kanaani: Ada binti Eloni Mhiti, Oholibama binti Ana, mjukuu wa kike wa Sibeoni Mhivi;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Esau alitwaa binti za Kanaani, kuwa wakeze; Ada, binti Eloni, Mhiti, na Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Esau alioa wake Wakanaani: Ada binti Eloni Mhiti, Oholibama binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Esau akaoa wake kutoka miongoni mwa wanawake wa Kanaani: Ada binti wa Eloni Mhiti, Oholibama binti wa Ana, mjukuu wa kike wa Sibeoni Mhivi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Esau akaoa wake kutoka miongoni mwa wanawake wa Kanaani: Ada binti wa Eloni Mhiti, Oholibama binti wa Ana, mjukuu wa kike wa Sibeoni Mhivi,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Esau alitwaa binti za Kanaani, kuwa wakeze; Ada, binti Eloni, Mhiti, na Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Esau alioa wake Wakanaani: Ada binti Eloni Mhiti, Oholibama binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Esau akachukua wakeze kwao wanawake wa Kanaani: Ada, binti Mhiti Eloni, na Oholibama, binti Ana, binti Mhiwi Siboni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Esau alitwaa binti za Kanaani, kuwa wakeze; Ada, binti Eloni, Mhiti, na Oholibama, binti Ana, binti Sibeoni, Mhivi;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Esau alioa wake Wakanaa: Ada binti ya Eloni Muhiti, Oholibama binti ya Ana, binti ya Sibeoni Muhivi,