Genesis 36:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoto wa kiume wa Sibeoni walikuwa Aya na Ana. Ana ndiye aliyeziona chemchemi za maji ya moto jangwani, alipokuwa anawachunga punda wa baba yake Sibeoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wana wa Sibeoni walikuwa: Aya na Ana. (Huyu Ana ndiye aligundua chemchemi ya maji moto jangwani alipokuwa akichunga punda wa Sibeoni, baba yake.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hawa ni wana wa Sibeoni, Aya, na Ana; ni yule Ana aliyeona chemchemi za maji ya moto katika jangwa, alipokuwa akichunga punda za Sibeoni babaye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoto wa kiume wa Sibeoni walikuwa Aya na Ana. Ana ndiye aliyeziona chemchemi za maji ya moto jangwani, alipokuwa anawachunga punda wa baba yake Sibeoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana wa Sibeoni walikuwa: Aiya na Ana. Huyu Ana ndiye aliyegundua chemchemi ya maji moto jangwani alipokuwa akichunga punda za Sibeoni baba yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wana wa Sibeoni walikuwa: Aiya na Ana. Huyu Ana ndiye aligundua chemchemi ya maji moto jangwani alipokuwa akichunga punda za Sibeoni baba yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hawa ni wana wa Sibeoni, Aya, na Ana; ni yule Ana aliyeona chemchemi za maji ya moto katika jangwa, alipokuwa akichunga punda za Sibeoni babaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoto wa kiume wa Sibeoni walikuwa Aya na Ana. Ana ndiye aliyeziona chemchemi za maji ya moto jangwani, alipokuwa anawachunga punda wa baba yake Sibeoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao hawa ndio wana wa Siboni: Aya na Ana; huyu Ana ndiye aliyeziona chemchemi za maji ya moto nyikani alipowachunga punda wa baba yake Siboni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hawa ni wana wa Sibeoni, Aya, na Ana; ni yule Ana aliyeona chemchemi za maji ya moto katika jangwa, alipokuwa akichunga punda za Sibeoni babaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana wa Sibeoni walikuwa Aya na Ana. Ana ndiye aliyeona chemichemi za maji ya moto katika jangwa, alipokuwa anachunga punda wa baba yake Sibeoni.