Genesis 36:31 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafuatao ni wafalme waliotawala nchi ya Edomu, kabla mfalme yeyote hajawatawala Waisraeli:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafuatao ni wafalme waliotawala Edomu kabla ya mfalme yeyote wa Israeli kutawala:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hawa ndio wafalme waliomiliki katika nchi ya Edomu, kabla ya kumiliki mfalme ye yote juu ya wana wa Israeli.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafuatao ni wafalme waliotawala nchi ya Edomu, kabla mfalme yeyote hajawatawala Waisraeli:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafuatao ni wafalme waliotawala Edomu kabla ya mfalme ye yote wa Israeli kutawala:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafuatao ni wafalme waliotawala Edomu kabla ya mfalme yeyote wa Israeli kutawala:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hawa ndio wafalme waliomiliki katika nchi ya Edomu, kabla ya kumiliki mfalme yeyote juu ya wana wa Israeli.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafuatao ni wafalme waliotawala nchi ya Edomu, kabla mfalme yeyote hajawatawala Waisraeli:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao hawa ndio wafalme waliotawala katika nchi ya Edomu, wana wa Isiraeli walipokuwa hawajapata bado mfalme.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hawa ndio wafalme waliomiliki katika nchi ya Edomu, kabla ya kumiliki mfalme ye yote juu ya wana wa Israeli.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawa ndio wafalme waliotawala katika inchi ya Edomu, mbele mufalme yeyote hajawatawala Waisraeli: