Genesis 36:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bela mwana wa Beori alitawala nchi ya Edomu akiwa na makao yake makuu katika mji wa Dinhaba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bela mwana wa Beori alikuwa mfalme wa Edomu. Mji wake uliitwa Dinhaba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bela wa Beori alimiliki katika Edomu, na jina la mji wake ni Dinhaba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bela mwana wa Beori alitawala nchi ya Edomu akiwa na makao yake makuu katika mji wa Dinhaba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bela mwana wa Beiri alikuwa mfalme wa Edomu. Mji wake uliitwa Dinhaba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bela mwana wa Beori alikuwa mfalme wa Edomu. Mji wake uliitwa Dinhaba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bela wa Beori alimiliki katika Edomu, na jina la mji wake ni Dinhaba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bela mwana wa Beori alitawala nchi ya Edomu akiwa na makao yake makuu katika mji wa Dinhaba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bela, mwana wa Beori, alikuwa mfalme huko Edomu, nalo jina la mji wake ni Dinihaba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bela wa Beori alimiliki katika Edomu, na jina la mji wake ni Dinhaba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bela mwana wa Beori alitawala inchi ya Edomu akiwa na makao yake makubwa katika muji wa Dinihaba.