Genesis 36:33 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra alitawala badala yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafa Bela, akamiliki Yobabu mwana wa Zera, wa Bosra, badala yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra alitawala badala yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bela alipokufa, nafasi yake ya ufalme ikashikwa na Yobabu mwanawe Zera kutoka Bosra.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra akawa mfalme baada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafa Bela, akamiliki Yobabu mwana wa Zera, wa Bosra, badala yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bela alipofariki, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosra alitawala badala yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bela alipokufa, Yobabu, mwana wa Zera aliyetoka Bosira, akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafa Bela, akamiliki Yobabu mwana wa Zera, wa Bosra, badala yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bela alipokufa, Yobabu mwana wa Zera kutoka Bosira akatawala pahali pake.