Genesis 36:35 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi alitawala badala yake, makao yake makuu yakiwa katika mji wa Avithi. Huyu ndiye aliyewapiga na kuwashinda Wamidiani katika nchi ya Moabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafa Hushamu, akamiliki Hadadi wa Bedadi badala yake, naye ndiye aliyepiga Midiani katika nyika ya Moabu, na jina la mji wake ni Avithi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi alitawala badala yake, makao yake makuu yakiwa katika mji wa Avithi. Huyu ndiye aliyewapiga na kuwashinda Wamidiani katika nchi ya Moabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hushamu alipokufa, Hadadi mwana wa Bedadi, ambaye alikuwa ameshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akatawala baada yake. Mji wake uliitwa Avithi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi, aliyeshinda Midiani katika nchi ya Moabu, akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Avithi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafa Hushamu, akamiliki Hadadi wa Bedadi badala yake, naye ndiye aliyepiga Midiani katika nyika ya Moabu, na jina la mji wake ni Avithi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi alitawala badala yake, makao yake makuu yakiwa katika mji wa Avithi. Huyu ndiye aliyewapiga na kuwashinda Wamidiani katika nchi ya Moabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Husamu alipokufa, Hadadi, mwana wa Bedadi aliyewapiga Wamidiani katika mbuga za Wamoabu, akawa mfalme mahali pake; nalo jina la mji wake ni Awiti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafa Hushamu, akamiliki Hadadi wa Bedadi badala yake, naye ndiye aliyepiga Midiani katika nyika ya Moabu, na jina la mji wake ni Avithi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Husamu alipokufa, Hadadi mwana wa Bedadi akatawala pahali pake, makao yake makubwa yakiwa katika muji wa Awiti. Huyu ndiye aliyewapiga na kuwashinda Wamidiani katika inchi ya Moabu.