Genesis 36:38 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli alipofariki, Baal-hanani, mwana wa Akbori, alitawala badala yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafa Shauli, akamiliki Baal-hanani, mwana wa Akbori, badala yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli alipofariki, Baal-hanani, mwana wa Akbori, alitawala badala yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Shauli alipokufa, Baal-Hanani mwana wa Akbori alitawala badala yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafa Shauli, akamiliki Baal-hanani, mwana wa Akbori, badala yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli alipofariki, Baal-hanani, mwana wa Akbori, alitawala badala yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli alipokufa, Baali-Hanani, mwana wa Akibori, akawa mfalme mahali pake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafa Shauli, akamiliki Baal-hanani, mwana wa Akbori, badala yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sauli alipokufa, Bali-Hanani mwana wa Akibori, akatawala pahali pake.