Genesis 36:39 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baal-hanani, mwana wa Akbori alipofariki, Hadadi alitawala badala yake, na jina la mji wake likiwa Pau. Mkewe Akbori alikuwa Mehetabeli, binti Matredi na mjukuu wa Mezahabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baal-Hanani mwana wa Akbori alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akafa Baal-hanani, mwana wa Akbori, akamiliki Hadadi badala yake; na jina la mji wake ni Pau; na jina la mkewe ni Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baal-hanani, mwana wa Akbori alipofariki, Hadadi alitawala badala yake, na jina la mji wake likiwa Pau. Mkewe Akbori alikuwa Mehetabeli, binti Matredi na mjukuu wa Mezahabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baal-Hanani mwana wa Akbori alipokufa, Hadadi akatawala baada yake. Mji wake uliitwa Pau, naye mke wake aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baal-Hanani mwana wa Akbori alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akafa Baal-hanani, mwana wa Akbori, akamiliki Hadadi badala yake; na jina la mji wake ni Pau; na jina la mkewe ni Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baal-hanani, mwana wa Akbori alipofariki, Hadadi alitawala badala yake, na jina la mji wake likiwa Pau. Mkewe Akbori alikuwa Mehetabeli, binti Matredi na mjukuu wa Mezahabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Baali-Hanani, mwana wa Akibori, alipokufa, Hadari akawa mfalme mahali pake, nalo jina la mji ni Pau, nalo jina la mkewwe ni Mehetabeli, binti Matiredi, binti Mezahabu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akafa Baal-hanani, mwana wa Akbori, akamiliki Hadadi badala yake; na jina la mji wake ni Pau; na jina la mkewe ni Mehetabeli, binti Matredi, binti Mezahabu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Bali-Hanani mwana wa Akibori alipokufa, Hadari akatawala pahali pake, na jina la muji wake likiwa Pau. Muke wa Akibori alikuwa Mehetabeli, binti ya Matiredi, binti ya Mezahaba.