Genesis 36:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Magdieli na Iramu. Hao ndio wakuu wa makabila yaliyotokana na Edomu, yaani Esau, baba yake Edomu; wametajwa kulingana na makazi yao katika sehemu za nchi walizomiliki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Magdieli na Iramu. Hao walikuwa wakuu wa Edomu, kufuatana na makazi yao katika nchi waliyoimiliki. Hivi ndivyo vizazi vya Esau, baba wa Waedomu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
jumbe Magdieli, jumbe Iramu. Hao ndio majumbe wa Edomu, kufuata makao yao, katika nchi ya mamlaka yao. Naye huyo ndiye Esau, baba ya Edomu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Magdieli na Iramu. Hao ndio wakuu wa makabila yaliyotokana na Edomu, yaani Esau, baba yake Edomu; wametajwa kulingana na makazi yao katika sehemu za nchi walizomiliki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Magdieli na Iramu. Hawa ndio walikuwa wakuu wa Edomu, kufuatana na makazi yao katika nchi waliyoimiliki. Huyu ndiye aliyekuwa Esau, baba wa Waedomu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Magdieli na Iramu. Hawa ndio walikuwa wakuu wa Edomu, kufuatana na makazi yao katika nchi waliyoimiliki. Huyu ndiye alikuwa Esau, baba wa Waedomu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
jumbe Magdieli, jumbe Iramu. Hao ndio majumbe wa Edomu, kulingana na makao yao, katika nchi ya mamlaka yao. Naye huyo ndiye Esau, baba ya Edomu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Magdieli na Iramu. Hao ndio wakuu wa makabila yaliyotokana na Edomu, yaani Esau, baba yake Edomu; wametajwa kulingana na makazi yao katika sehemu za nchi walizomiliki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
jumbe Magidieli, jumbe Iramu. Hawa ndio majumbe wa Waedomu, jinsi walivyoitwa kwa koo zao katika hizo nchi, walizozichukua kuwa zao. Huyu ndiye Esau, baba yao Waedomu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
jumbe Magdieli, jumbe Iramu. Hao ndio majumbe wa Edomu, kufuata makao yao, katika nchi ya mamlaka yao. Naye huyo ndiye Esau, baba ya Edomu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Magdieli na Iramu. Hao ndio wakubwa wa makabila yaliyotokana na Edomu, maana yake, Esau, baba ya Edomu. Wametajwa kulingana na makao yao katika sehemu za inchi walizorizi.