Genesis 36:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafuatao ni wazawa wa Esau, baba ya Waedomu katika nchi ya milima ya Seiri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hivi ndivyo vizazi vya Esau, baba wa Waedomu, katika nchi ya vilima ya Seiri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hivi ni vizazi vya Esau, baba ya Edomu katika mlima Seiri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafuatao ni wazawa wa Esau, baba ya Waedomu katika nchi ya milima ya Seiri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hawa ndio wazao wa Esau, baba wa Waedomu, katika nchi ya kilima cha Seiri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hawa ndio wazao wa Esau, baba wa Waedomu, katika nchi ya kilima cha Seiri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hivi ni vizazi vya Esau, baba ya Edomu katika mlima Seiri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafuatao ni wazawa wa Esau, baba ya Waedomu katika nchi ya milima ya Seiri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Navyo hivi ndivyo vizazi vyake Esau, baba yao Waedomu, milimani kwa Seiri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hivi ni vizazi vya Esau, baba ya Edomu katika mlima Seiri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hawa ndio wazao wa Esau, baba ya Waedomu katika inchi ya milima ya Seiri.