Genesis 37:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku moja, ndugu zake Yosefu walikwenda kuchunga wanyama wa baba yao karibu na Shekemu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi ndugu zake walikuwa wameenda kuchunga makundi ya baba yao karibu na Shekemu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndugu zake wakaenda kuchunga kondoo za baba yao huko Shekemu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku moja, ndugu zake Yosefu walikwenda kuchunga wanyama wa baba yao karibu na Shekemu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi, ndugu zake walikuwa wamekwenda kuchunga makundi ya baba yao karibu na Shekemu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi, ndugu zake walikuwa wamekwenda kuchunga makundi ya baba yao karibu na Shekemu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndugu zake wakaenda kuchunga kondoo za baba yao huko Shekemu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku moja, ndugu zake Yosefu walikwenda kuchunga wanyama wa baba yao karibu na Shekemu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha kaka zake walipokwenda kuwachnga mbuzi na kondoo wa baba yao huko Sikemu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndugu zake wakaenda kuchunga kondoo za baba yao huko Shekemu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku moja, wandugu za Yosefu wakakwenda kuchunga nyama wa baba yao karibu na Sekemu.