Genesis 37:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
mtu mmoja akamkuta akitangatanga mbugani, akamwuliza, “Unatafuta nini?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
mtu mmoja akamkuta akizungukazunguka mashambani, akamuuliza, “Unatafuta nini?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu mmoja akamkuta, naye alikuwa anazunguka-zunguka katika nyika; yule mtu akamwuliza, akisema, Unatafuta nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
mtu mmoja akamkuta akitangatanga mbugani, akamwuliza, “Unatafuta nini?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
mtu mmoja akamkuta akizungukazunguka mashambani na akamwuliza, “Unatafuta nini?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
mtu mmoja akamkuta akizungukazunguka mashambani na akamuuliza, “Unatafuta nini?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu mmoja akamkuta, naye alikuwa anazungukazunguka katika nyika; yule mtu akamwuliza, akisema, Unatafuta nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
mtu mmoja akamkuta akitangatanga mbugani, akamwuliza, “Unatafuta nini?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mtu alipomwona, alipokuwa amepotelewa na njia porini, naye yule mtu akamwuliza: Unatafuta nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu mmoja akamkuta, naye alikuwa anazunguka-zunguka katika nyika; yule mtu akamwuliza, akisema, Unatafuta nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
mutu mumoja akamukuta akitangatanga katika mbuga, akamwuliza: “Unatafuta nini?”