Genesis 37:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndugu zake walipomwona akiwa mbali na kabla hajafika karibu, wakafanya mpango wa kumuua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndugu zake walipomwona akiwa mbali, kabla hajawafikia, wakapanga njama za kumuua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwona toka mbali, na kabla hajawakaribia, wakafanya shauri juu yake ili wamwue.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndugu zake walipomwona akiwa mbali na kabla hajafika karibu, wakafanya mpango wa kumuua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndugu zake walipomwona akiwa mbali, kabla hajawafikia, wakapanga shauri baya la kumwua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndugu zake walipomwona akiwa mbali, kabla hajawafikia, wakapanga shauri baya la kumuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwona akiwa mbali, na kabla hajawakaribia, wakafanya shauri juu yake ili wamwue.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndugu zake walipomwona akiwa mbali na kabla hajafika karibu, wakafanya mpango wa kumuua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao walipomwona, angaliko mbali, wakafanya shauri la kumwua, alipokuwa hajafika kwao,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwona toka mbali, na kabla hajawakaribia, wakafanya shauri juu yake ili wamwue.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wandugu zake walipomwona akiwa mbali na mbele hajafika karibu, wakafanya mupango wa kumwua.