Genesis 37:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Haya, tumuue na kumtupa ndani ya shimo mojawapo. Baadaye tutasema kwamba ameuawa na mnyama wa porini. Halafu tutaona hizo ndoto zake zitakuwaje.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njooni sasa, tumuue na kumtupa katika shimo mojawapo, na tuseme kwamba mnyama mkali amemrarua. Kisha tutaona matokeo ya ndoto zake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya, twende, tukamwue na kumtupa katika birika mojawapo, nasi tutasema, Mnyama mkali amemla; kisha tutaona zitakuwaje ndoto zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Haya, tumuue na kumtupa ndani ya shimo mojawapo. Baadaye tutasema kwamba ameuawa na mnyama wa porini. Halafu tutaona hizo ndoto zake zitakuwaje.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njoni sasa, tumwue na kumtupa katika shimo mojawapo na tuseme kwamba mnyama mkali amemrarua. Kisha tutaona matokeo ya ndoto zake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njooni sasa, tumuue na kumtupa katika shimo mojawapo na tuseme kwamba mnyama mkali amemrarua. Kisha tutaona matokeo ya ndoto zake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya, twende, tukamwue na kumtupa katika shimo mojawapo, nasi tutasema, Mnyama mkali amemla; kisha tutaona zitakuwaje ndoto zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Haya, tumuue na kumtupa ndani ya shimo mojawapo. Baadaye tutasema kwamba ameuawa na mnyama wa porini. Halafu tutaona hizo ndoto zake zitakuwaje.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa haya! na tumwue! Kisha tumtupe shimoni mo mote, tuseme: Nyama mkali amemla! Ndipo, tutakapoona, ndoto zake zitakavyotimia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya, twende, tukamwue na kumtupa katika birika mojawapo, nasi tutasema, Mnyama mkali amemla; kisha tutaona zitakuwaje ndoto zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, tumwue na kumutupa ndani ya shimo moja. Kisha tutasema kwamba ameuawa na nyama wa pori. Halafu tutaona hizo ndoto zake zitakuwa namna gani.”