Genesis 37:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Reubeni aliposikia maneno hayo, akataka kumwokoa mikononi mwao; basi akawaambia ndugu zake, “Tafadhali, tusimuue.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Reubeni aliposikia jambo hili, akajaribu kumwokoa kutoka mikononi mwao, akasema, “Tusimuue.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Reubeni akasikia akamwokoa katika mikono yao, akasema, Tusimwue.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Reubeni aliposikia maneno hayo, akataka kumwokoa mikononi mwao; basi akawaambia ndugu zake, “Tafadhali, tusimuue.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Reubeni aliposikia jambo hili, akajaribu kumwokoa kutoka mikononi mwao akasema, “Tusiutoe uhai wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Reubeni aliposikia jambo hili, akajaribu kumwokoa kutoka mikononi mwao akasema, “Tusiutoe uhai wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Reubeni akasikia akamwokoa katika mikono yao, akasema, Tusimwue.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Reubeni aliposikia maneno hayo, akataka kumwokoa mikononi mwao; basi akawaambia ndugu zake, “Tafadhali, tusimuue.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Rubeni alipoyasikia alitaka kumponya mikononi mwao, akawaambia: Tusimwue!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Reubeni akasikia akamwokoa katika mikono yao, akasema, Tusimwue.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Rubeni aliposikia maneno hayo, akataka kumwokoa toka katika mikono yao. Basi akawaambia wandugu zake: “Tafazali, tusimwue.