Genesis 37:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yosefu alipowafikia ndugu zake, wao wakamvua kanzu yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Yusufu alipowafikia ndugu zake, walimvua lile joho lake, lile joho lililofumwa vizuri alilokuwa amevaa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa Yusufu alipofika kwa ndugu zake, wakamvua Yusufu kanzu yake, kanzu ile ndefu aliyoivaa,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yosefu alipowafikia ndugu zake, wao wakamvua kanzu yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Yosefu alipowafikia ndugu zake, walimvua lile joho lake, lile joho lililorembwa vizuri alilokuwa amevaa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Yusufu alipowafikia ndugu zake, walimvua lile joho lake, lile joho lililorembwa vizuri alilokuwa amevaa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa Yusufu alipofika kwa ndugu zake, wakamvua Yusufu kanzu yake, kanzu ile ndefu aliyoivaa,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yosefu alipowafikia ndugu zake, wao wakamvua kanzu yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, Yosefu alipofika kwa kaka zake, wakamvua kanzu yake, maana aliivaa ile kanzu ya nguo za rangi;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa Yusufu alipofika kwa ndugu zake, wakamvua Yusufu kanzu yake, kanzu ile ndefu aliyoivaa,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yosefu alipowafikia wandugu zake, wao wakamvua kanzu yake.