Genesis 37:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha wakamshika na kumtupa shimoni. Lakini shimo hilo halikuwa na maji.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakamchukua, wakamtupa katika shimo. Hilo shimo lilikuwa tupu, halikuwa na maji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakamtwaa wakamtupa katika birika; na hiyo birika ilikuwa tupu, hamna maji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha wakamshika na kumtupa shimoni. Lakini shimo hilo halikuwa na maji.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakamchukua wakamtupa katika shimo. Wakati huo shimo lilikuwa tupu, halikuwa na maji ndani yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakamchukua wakamtupa katika shimo. Wakati huo shimo lilikuwa tupu, halikuwa na maji ndani yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakamtwaa wakamtupa katika shimo; na hilo shimo ilikuwa tupu, hamna maji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha wakamshika na kumtupa shimoni. Lakini shimo hilo halikuwa na maji.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kisha wakamchukua, wakamtumbukiza katika shimo, nalo hilo shimo lilikuwa halina maji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakamtwaa wakamtupa katika birika; na hiyo birika ilikuwa tupu, hamna maji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wakamushika na kumutupa ndani ya shimo. Lakini shimo hilo halikukuwa na maji.