Genesis 37:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Yuda akawaambia ndugu zake, “Tutapata faida gani tukimuua ndugu yetu na kuficha mauaji yake?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yuda akawaambia ndugu zake, “Tutafaidi nini tukimuua ndugu yetu na kuificha damu yake?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yuda akawaambia ndugu zake, Kwafaa nini kumwua ndugu yetu, na kuificha damu yake?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Yuda akawaambia ndugu zake, “Tutapata faida gani tukimuua ndugu yetu na kuficha mauaji yake?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yuda akawaambia ndugu zake, “Tutafaidi nini ikiwa tutamwua ndugu yetu na kuificha damu yake?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yuda akawaambia ndugu zake, “Tutafaidi nini ikiwa tutamuua ndugu yetu na kuificha damu yake?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yuda akawaambia ndugu zake, Kwafaa nini kumwua ndugu yetu, na kuificha damu yake?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Yuda akawaambia ndugu zake, “Tutapata faida gani tukimuua ndugu yetu na kuficha mauaji yake?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yuda alipowaambia ndugu zake: Haifai, tukimwua ndugu yetu na kuificha damu yake;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yuda akawaambia ndugu zake, Kwafaa nini kumwua ndugu yetu, na kuificha damu yake?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo Yuda akawaambia wandugu zake: “Tutapata faida gani tukimwua ndugu yetu na kuficha damu yake?