Genesis 37:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Afadhali tumwuze kwa hawa Waishmaeli, lakini tusiguse maisha yake, kwani yeye ni ndugu yetu; yeye ni damu moja nasi.” Ndugu zake wakakubaliana naye.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Njooni, tumuuze kwa hawa Waishmaeli. Tusimguse, kwa kuwa hata hivyo yeye ni ndugu yetu, mwili wetu na damu yetu wenyewe.” Ndugu zake wakakubali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Haya, na tumwuze kwa hawa Waishmaeli, wala mikono yetu isimdhuru, maana yeye ni ndugu yetu, na damu yetu. Ndugu zake wakakubali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Afadhali tumwuze kwa hawa Waishmaeli, lakini tusiguse maisha yake, kwani yeye ni ndugu yetu; yeye ni damu moja nasi.” Ndugu zake wakakubaliana naye.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Njoni, tumwuze kwa hawa Waishmaeli, tusimguse kwa kuwa hata hivyo, yeye ni ndugu yetu, nyama yetu na damu yetu wenyewe.” Ndugu zake wakakubali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Njooni, tumuuze kwa hawa Waishmaeli. Tusimguse, kwa kuwa hata hivyo yeye ni ndugu yetu, nyama yetu na damu yetu wenyewe.” Ndugu zake wakakubali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Haya, na tumuuze kwa hawa Waishmaeli, wala mikono yetu isimdhuru, maana yeye ni ndugu yetu, na damu yetu. Ndugu zake wakakubali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Afadhali tumwuze kwa hawa Waishmaeli, lakini tusiguse maisha yake, kwani yeye ni ndugu yetu; yeye ni damu moja nasi.” Ndugu zake wakakubaliana naye.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
haya! na tumwuze kwa hawa Waisimaeli, tusimpige kwa mikono yetu! Kwani ni ndugu yetu, tuliyezaliwa naye. Nao ndugu zake wakamwitikia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Haya, na tumwuze kwa hawa Waishmaeli, wala mikono yetu isimdhuru, maana yeye ni ndugu yetu, na damu yetu. Ndugu zake wakakubali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Afazali tumwuzishe kwa hawa Waisimaeli, lakini tusiguse maisha yake, maana yeye ni ndugu yetu; yeye ni damu moja nasi.” Wandugu zake wakakubaliana naye.