Genesis 37:29 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Reubeni aliporudi kwenye lile shimo, na asimwone Yosefu tena, akazirarua nguo zake kwa huzuni,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Reubeni aliporudi kutazama kwenye lile shimo na kuona kwamba Yusufu hayupo, alirarua nguo zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akarudi Reubeni birikani, kumbe! Yusufu hayumo katika birika, akararua nguo zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Reubeni aliporudi kwenye lile shimo, na asimwone Yosefu tena, akazirarua nguo zake kwa huzuni,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Reubeni aliporudi kutazama kwenye lile shimo na kuona kwamba Yosefu hayupo, alirarua nguo zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Reubeni aliporudi kutazama kwenye lile shimo na kuona kwamba Yusufu hayupo, alirarua nguo zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akarudi Reubeni birikani, kumbe! Yusufu hayumo katika birika, akararua nguo zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Reubeni aliporudi kwenye lile shimo, na asimwone Yosefu tena, akazirarua nguo zake kwa huzuni,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Rubeni aliporudi hapo shimoni, akaona, ya kama Yosefu hayumo; ndipo, alipozirarua nguo zake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akarudi Reubeni birikani, kumbe! Yusufu hayumo katika birika, akararua nguo zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Rubeni aliporudi kwenye lile shimo, hakumwona Yosefu tena, kwa hiyo akararua nguo zake kwa huzuni,