Genesis 37:32 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha wakampelekea baba yao ile kanzu, wakamwambia, “Tumeiokota kanzu hii. Hebu iangalie kama ni ya mwanao, au siyo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakalichukua lile joho lililofumwa vizuri na kulipeleka kwa baba yao na kusema, “Tumeliokota hili joho. Uchunguze uone kama ni la mwanao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakaenda nayo ile kanzu ndefu, wakamletea baba yao, wakasema, Tumeona hii; basi, utambue kama kanzu hii ni ya mwanao, ama siyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha wakampelekea baba yao ile kanzu, wakamwambia, “Tumeiokota kanzu hii. Hebu iangalie kama ni ya mwanao, au siyo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakalichukua lile joho lililorembwa vizuri na kulipeleka kwa baba yao na kusema, “Tumeliokota hili joho. Uchunguze uone kama ni la mwanao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakalichukua lile joho lililorembwa vizuri na kulipeleka kwa baba yao na kusema, “Tumeliokota hili joho. Uchunguze uone kama ni la mwanao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakaenda nayo ile kanzu ndefu, wakamletea baba yao, wakasema, Tumeona hii; basi, utambue kama kanzu hii ni ya mwanao, ama siyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha wakampelekea baba yao ile kanzu, wakamwambia, “Tumeiokota kanzu hii. Hebu iangalie kama ni ya mwanao, au siyo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakaituma hiyo kanzu ya nguo za rangi kumpelekea baba yao, wakamwambia: Nguo hii tumeiokota; itazame, kama ndiyo kanzu ya mwanao, au kama siyo!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakaenda nayo ile kanzu ndefu, wakamletea baba yao, wakasema, Tumeona hii; basi, utambue kama kanzu hii ni ya mwanao, ama siyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha wakamupelekea baba yao ile kanzu, wakamwambia: “Tumeokota kanzu hii. Uangalie kama ni ya mwana wako, au hapana.”