Genesis 37:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niliota kuwa sote tulikuwa shambani tukifunga miganda na ghafla mganda wangu ukainuka na kusimama wima. Miganda yenu ikakusanyika kuuzunguka na kuuinamia mganda wangu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tulikuwa tukifunga miganda ya nafaka shambani. Ghafula mganda wangu ukasimama wima, nayo miganda yenu ikauzunguka na kuuinamia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tazama, sisi tulikuwa tukifunga miganda shambani, kumbe! Mganda wangu ukaondoka ukasimama, na tazama, miganda yenu ikazunguka ikainama mbele ya mganda wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niliota kuwa sote tulikuwa shambani tukifunga miganda na ghafla mganda wangu ukainuka na kusimama wima. Miganda yenu ikakusanyika kuuzunguka na kuuinamia mganda wangu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tulikuwa tukifunga miganda ya nafaka shambani, ghafula mganda wangu ukasimama wima, wakati miganda yenu ikiuzunguka na kuuinamia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tulikuwa tukifunga miganda ya nafaka shambani, ghafula mganda wangu ukasimama wima, wakati miganda yenu ikiuzunguka na kuuinamia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tazama, sisi tulikuwa tukifunga miganda shambani, kumbe! Mganda wangu ukaondoka ukasimama, na tazama, miganda yenu ikazunguka ikainama mbele ya mganda wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niliota kuwa sote tulikuwa shambani tukifunga miganda na ghafla mganda wangu ukainuka na kusimama wima. Miganda yenu ikakusanyika kuuzunguka na kuuinamia mganda wangu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nimeona, sisi tulikuwa shambani tukifunga miganda; mara mganda wangu ukainuka, ukasimama, nayo miganda yenu ikauzunguka, ikazungukia mganda wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tazama, sisi tulikuwa tukifunga miganda shambani, kumbe! Mganda wangu ukaondoka ukasimama, na tazama, miganda yenu ikazunguka ikainama mbele ya mganda wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Niliota kwamba sisi wote tulikuwa katika shamba tukifunga miganda. Kwa rafla muganda wangu ukainuka na kusimama wima. Miganda yenu ikakusanyika kuuzunguka na kuinamia mbele ya muganda wangu.”