Genesis 38:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alichofanya kilikuwa kiovu machoni pa Mwenyezi Mungu, hivyo Mwenyezi Mungu akamuua Onani pia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Neno hili alilolifanya likawa baya machoni pa Bwana, basi akamwua yeye naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alichofanya kilikuwa kiovu machoni pa BWANA, hivyo, pia BWANA akamwua Onani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alichofanya kilikuwa kiovu machoni pa bwana, hivyo, pia bwana akamuua Onani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jambo hili alilolifanya likawa baya machoni pa BWANA, basi akamwua yeye pia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tendo hilo likamwudhi Mwenyezi-Mungu, akamuua Onani pia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hayo, aliyoyafanya, yakawa mabaya machoni pa Bwana, kwa hiyo akamwua naye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Neno hili alilolifanya likawa baya machoni pa BWANA, basi akamwua yeye naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tendo hilo likamwuzi Yawe, akamwua Onani vilevile.