Genesis 38:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha binti Shua, mkewe Yuda, akafariki. Yuda alipomaliza kufanya matanga akaondoka na rafiki yake Hira, Mwadulami, wakaenda Timna kwa wakata-manyoya ya kondoo wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baada ya muda mrefu, mke wa Yuda, binti Shua, akafariki. Baada ya msiba, Yuda alienda Timna kwa watu waliokuwa wakikata kondoo wake manyoya, naye alifuatana na rafiki yake Hira Mwadulami.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku nyingi zikapita, akafa binti Shua, mkewe Yuda. Yuda akafarijika, akaenda kwa watu wake wawakatao manyoya kondoo huko Timna, yeye na mwenzake Hira, Mwadulami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha binti Shua, mkewe Yuda, akafariki. Yuda alipomaliza kufanya matanga akaondoka na rafiki yake Hira, Mwadulami, wakaenda Timna kwa wakata-manyoya ya kondoo wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baada ya muda mrefu mke wa Yuda binti wa Shua akafariki. Baada ya msiba, Yuda alikwenda Timna, kwa watu waliokuwa wakikata kondoo wake manyoya, naye alifuatana na rafiki yake Hira Mwadulami.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baada ya muda mrefu mke wa Yuda binti wa Shua akafariki. Baada ya msiba, Yuda alikwenda Timna, kwa watu waliokuwa wakikata kondoo wake manyoya, naye alifuatana na rafiki yake Hira Mwadulami.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku nyingi zikapita, akafa binti Shua, mkewe Yuda. Yuda akafarijika, akaenda kwa watu wake wawakatao kondoo manyoya huko Timna, yeye na mwenzake Hira, Mwadulami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha binti Shua, mkewe Yuda, akafariki. Yuda alipomaliza kufanya matanga akaondoka na rafiki yake Hira, Mwadulami, wakaenda Timna kwa wakata-manyoya ya kondoo wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zilipopita nyingi, binti Sua, mkewe Yuda, akafa. Yuda alipokwisha kujituliza moyo kwa ajili ya kufa kwake akapanda kwenda Timunati kwao waliowakata kondoo wake manyoya, yeye na rafiki yake Hira wa Adulamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku nyingi zikapita, akafa binti Shua, mkewe Yuda. Yuda akafarijika, akaenda kwa watu wake wawakatao manyoya kondoo huko Timna, yeye na mwenzake Hira, Mwadulami.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya muda, binti ya Sua, muke wa Yuda, akakufa. Yuda alipomaliza kufanya kilio akaondoka na rafiki yake Hira Mwadulami, wakakwenda Timuna kwa kukata manyoya ya kondoo wake.