Genesis 38:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tamari aliposikia kwamba baba mkwe wake alikuwa njiani kwenda Timna kukata manyoya ya kondoo wake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tamari alipoambiwa, “Baba mkwe wako yuko njiani akielekea Timna kukata kondoo wake manyoya,”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Huyo Tamari akapewa habari, kusema, Mkweo anakwenda Timna, akate manyoya ya kondoo zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tamari aliposikia kwamba baba mkwe wake alikuwa njiani kwenda Timna kukata manyoya ya kondoo wake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tamari alipoambiwa, “Baba mkwe wako yuko njiani kwenda Timna kukata kondoo wake manyoya,”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tamari alipoambiwa, “Baba mkwe wako yuko njiani kwenda Timna kukata kondoo wake manyoya,”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Huyo Tamari akapewa habari, kusema, Mkweo anakwenda Timna, akate manyoya ya kondoo wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tamari aliposikia kwamba baba mkwe wake alikuwa njiani kwenda Timna kukata manyoya ya kondoo wake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tamari alipopashwa habari kwamba: Tazama, mkweo anapanda kwenda Timunati kuwakata kondoo wake manyoya,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Huyo Tamari akapewa habari, kusema, Mkweo anakwenda Timna, akate manyoya ya kondoo zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tamari aliposikia kwamba baba mukwe wake alikuwa katika njia kwenda Timuna kukata manyoya ya kondoo wake,