Genesis 38:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Tamari akarudi nyumbani akavua ile shela aliyojifunika, akavaa tena mavazi yake ya ujane.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tamari akaondoka, akavua shela yake, akavaa tena nguo zake za ujane.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaondoka, akaenda zake, akavua utaji wake, na kuvaa mavazi ya ujane wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Tamari akarudi nyumbani akavua ile shela aliyojifunika, akavaa tena mavazi yake ya ujane.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tamari akaondoka, akavua shela yake akavaa tena nguo zake za ujane.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tamari akaondoka, akavua shela yake akavaa tena nguo zake za ujane.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaondoka, akaenda zake, akavua utaji wake, na kuvaa mavazi ya ujane wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Tamari akarudi nyumbani akavua ile shela aliyojifunika, akavaa tena mavazi yake ya ujane.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alipoinuka kwenda zake, akaondoa ukaya wake usoni pake, akayavaa mavazi yake ya ujane.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaondoka, akaenda zake, akavua utaji wake, na kuvaa mavazi ya ujane wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Tamari akarudi kwa nyumba akavua kile kitambaa alichojifunika, akavaa tena nguo zake za ujane.