Genesis 38:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akiwa huko, Yuda akamwona binti Shua, Mkanaani, akamwoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko Yuda akakutana na binti ya Mkanaani aitwaye Shua. Akamwoa na akakutana naye kimwili,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yuda akaona huko binti wa mtu Mkanaani, jina lake Shua. Akamtwaa, akaingia kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akiwa huko, Yuda akamwona binti Shua, Mkanaani, akamwoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko Yuda akakutana na binti wa Kikanaani aitwaye Shua akamwoa na akakutana naye kimwili,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko Yuda akakutana na binti wa Kikanaani aitwaye Shua, akamwoa na akakutana naye kimwili,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yuda akaona huko binti wa mtu Mkanaani, jina lake Shua. Akamtwaa, akaingia kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akiwa huko, Yuda akamwona binti Shua, Mkanaani, akamwoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko Yuda akaona binti Mkanaani, jina lake sua, akamchukua, akaingia kwake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yuda akaona huko binti wa mtu Mkanaani, jina lake Shua. Akamtwaa, akaingia kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akiwa kule, Yuda akamwona binti ya Sua Mukanana, akamwoa.