Genesis 38:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, huyo rafiki akarudi kwa Yuda, akamwambia, “Sikumpata! Tena wenyeji wa huko wameniambia kwamba hapajawa na mwanamke kahaba yeyote huko.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo akamrudia Yuda na kumwambia, “Sikumpata. Zaidi ya hayo, watu wanaoishi mahali pale walisema, ‘Hakujawahi kuwa kahaba wa mahali pa ibada za sanamu hapa.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akamrudia Yuda akasema, Sikumwona; hata na watu wa mahali hapo walisema, Hakuwako kahaba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, huyo rafiki akarudi kwa Yuda, akamwambia, “Sikumpata! Tena wenyeji wa huko wameniambia kwamba hapajawa na mwanamke kahaba yeyote huko.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo akamrudia Yuda na kumwambia, “Sikumpata. Zaidi ya hayo, watu wanaoishi mahali pale walisema ‘Hapakuwahi kuwepo mwanamke ye yote kahaba wa mahali pa kuabudia miungu hapa.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo akamrudia Yuda na kumwambia, “Sikumpata. Zaidi ya hayo, watu wanaoishi mahali pale walisema ‘Hapakuwahi kuwepo mwanamke yeyote kahaba wa mahali pa kuabudia miungu hapa.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akamrudia Yuda akasema, Sikumwona; hata na watu wa mahali hapo walisema, Hakuwako kahaba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, huyo rafiki akarudi kwa Yuda, akamwambia, “Sikumpata! Tena wenyeji wa huko wameniambia kwamba hapajawa na mwanamke kahaba yeyote huko.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akarudi kwake Yuda, akamwambia: sikumwona, nao watu wa mahali pale wanasema: Huku hakuwako mwanamke mgoni wa patakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akamrudia Yuda akasema, Sikumwona; hata na watu wa mahali hapo walisema, Hakuwako kahaba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, huyo rafiki akarudi kwa Yuda, akamwambia: “Sikumupata! Tena wenyeji wa kule wameniambia kwamba hapajakuwa mwanamuke kahaba yeyote kule.”