Genesis 38:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, alipopata uchungu wa kuzaa pacha mmojawapo alitoa mkono nje, naye mkunga akaufunga kwa uzi mwekundu, akisema, “Huyu ndiye aliyezaliwa kwanza.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alipokuwa akijifungua, mmoja akatoa mkono wake nje, kwa hiyo mkunga akachukua uzi mwekundu na kuufunga mkononi mwa yule mtoto, akasema, “Huyu ametoka kwanza.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa alipokuwa akizaa, mtoto mmoja akatoa mkono, mzalisha akautwaa uzi mwekundu akaufunga mkononi mwake, huku akisema, Huyu ametoka kwanza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, alipopata uchungu wa kuzaa pacha mmojawapo alitoa mkono nje, naye mkunga akaufunga kwa uzi mwekundu, akisema, “Huyu ndiye aliyezaliwa kwanza.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alipokuwa akijifungua, mmoja akatoa mkono wake nje, kwa hiyo muuguzi akachukua uzi mwekundu na kuufunga mkononi mwa yule mtoto akasema, “Huyu ametoka kwanza.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alipokuwa akijifungua, mmoja akatoa mkono wake nje, kwa hiyo mkunga akachukua uzi mwekundu na kuufunga mkononi mwa yule mtoto, akasema, “Huyu ametoka kwanza.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa alipokuwa akizaa, mtoto mmoja akatoa mkono, mkunga akautwaa uzi mwekundu akaufunga mkononi mwake, huku akisema, Huyu ametoka kwanza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, alipopata uchungu wa kuzaa pacha mmojawapo alitoa mkono nje, naye mkunga akaufunga kwa uzi mwekundu, akisema, “Huyu ndiye aliyezaliwa kwanza.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ikawa, alipozaa, mmoja akatoa mkono; ndipo mzalishaji alipomfunga mkononi pake uzi mwekundu kwamba: Huyu ametoka wa kwanza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa alipokuwa akizaa, mtoto mmoja akatoa mkono, mzalisha akautwaa uzi mwekundu akaufunga mkononi mwake, huku akisema, Huyu ametoka kwanza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, alipopata uchungu wa kuzaa, pacha mumoja akatoa mukono inje, naye muzalishaji akaufunga kwa uzi mwekundu, akisema: “Huyu ndiye aliyezaliwa kwanza.”