Genesis 38:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini huyo mtoto alipourudisha mkono wake ndani, ndugu yake akazaliwa wa kwanza. Mkunga akasema, “Mbona wewe umepita kwa nguvu?” Kwa hiyo akaitwa Peresi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini alipourudisha mkono wake, ndugu yake akatangulia kutoka, naye mkunga akasema, “Hivi ndivyo ulivyotoka kwa nguvu!” Akaitwa Peresi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa aliporudisha mkono wake, tazama, ndugu yake akatoka. Akasema, Mbona umepita kwa nguvu wewe? Mambo ya nguvu na yakuandame. Kwa hiyo jina lake likaitwa Peresi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini huyo mtoto alipourudisha mkono wake ndani, ndugu yake akazaliwa wa kwanza. Mkunga akasema, “Mbona wewe umepita kwa nguvu?” Kwa hiyo akaitwa Peresi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini alipourudisha mkono wake ndugu yake akaanza kutoka naye akasema, “Hivi ndivyo ulivyotoka kwa nguvu!” Akaitwa Peresi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini alipourudisha mkono wake ndugu yake akaanza kutoka, naye akasema, “Hivi ndivyo ulivyotoka kwa nguvu!” Akaitwa Peresi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa aliporudisha mkono wake, tazama, ndugu yake akatoka. Akasema, Mbona umepita kwa nguvu wewe? Mambo ya nguvu na yakuandame. Kwa hiyo jina lake likaitwa Peresi
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini huyo mtoto alipourudisha mkono wake ndani, ndugu yake akazaliwa wa kwanza. Mkunga akasema, “Mbona wewe umepita kwa nguvu?” Kwa hiyo akaitwa Peresi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ikawa, alipourudisha mkono wake, mara ndugu yake akatoka; ndipo, aliposema: Kumbe umejipasulia ufa namna hii! Kwa hiyo wakamwita jina lake Peresi (Ufa).
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa aliporudisha mkono wake, tazama, ndugu yake akatoka. Akasema, Mbona umepita kwa nguvu wewe? Mambo ya nguvu na yakuandame. Kwa hiyo jina lake likaitwa Peresi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini yule mutoto alipourudisha mukono wake ndani, ndugu yake akazaliwa wa kwanza. Muzalishaji akasema: “Mbona wewe umepita kwa nguvu?” Kwa hiyo akaitwa Peresi.