Genesis 38:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Binti Shua akapata mimba akazaa mtoto wa kiume, Yuda akamwita Eri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
naye akapata mimba, na akamzaa mwana, aliyeitwa jina Eri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye akapata mimba, akazaa mwana, akamwita jina lake Eri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Binti Shua akapata mimba akazaa mtoto wa kiume, Yuda akamwita Eri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
akapata mimba akamzaa mwana, ambaye alimwita Eri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
akapata mimba, akamzaa mwana, ambaye alimwita Eri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye akapata mimba, akazaa mwana, akamwita jina lake Eri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Binti Shua akapata mimba akazaa mtoto wa kiume, Yuda akamwita Eri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye akapata mimba, akazaa mtoto mume; jina lake yule akamwita Eri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye akapata mimba, akazaa mwana, akamwita jina lake Eri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Binti ya Sua akapata mimba akazaa mutoto mwanaume, akamwita Eri.