Genesis 38:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu machoni pa Mwenyezi Mungu, kwa hiyo Mwenyezi Mungu akamuua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa Bwana; na Bwana akamwua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda alikuwa mwovu machoni pa BWANA, kwa hiyo BWANA akamwua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu machoni pa bwana, kwa hiyo bwana akamuua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa BWANA; na BWANA akamwua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Eri, mwana wa kwanza wa Yuda, akawa mbaya machoni pa Bwana, kwa hiyo Bwana akamwua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa BWANA; na BWANA akamwua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Eri, muzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Yawe, hivyo Yawe akamwua.