Genesis 38:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Yuda akamwambia Onani, “Kutana kimwili na mke wa ndugu yako, na utimize wajibu wako kwake kama mke wa ndugu yako, ili umpatie ndugu yako uzao.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Yuda akamwambia Onani, “Kutana kimwili na mke wa ndugu yako na utimize wajibu wako kwake kama mke wa ndugu yako ili umpatie ndugu yako uzao.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Yuda akamwambia Onani, “Kutana kimwili na mke wa ndugu yako, na utimize wajibu wako kwake kama mke wa ndugu yako, ili umpatie ndugu yako uzao.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu yako marehemu, kwani ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumzalia nduguyo watoto.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Yuda alipomwambia Onani: Ingia kwa mkewe kaka yako, umsimikie unyumba naye na kumpatia kaka yako mzao kwake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Yuda akamwambia Onani: “Umutwae muke wa ndugu yako marehemu, maana vile ndivyo inavyokupasa kufanya, upate kumuzalia ndugu yako watoto.”