Genesis 39:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Huyo bwana wake akatambua kwamba Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Yosefu, na kwamba ndiye aliyeyafanikisha mambo yote aliyofanya Yosefu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Potifa alipoona kuwa Mwenyezi Mungu alikuwa pamoja na Yusufu, na kwamba Mwenyezi Mungu alimfanikisha kwa kila kitu alichokifanya,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana wake akaona ya kwamba Bwana yu pamoja naye, na ya kuwa Bwana anafanikisha mambo yote mkononi mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Huyo bwana wake akatambua kwamba Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Yosefu, na kwamba ndiye aliyeyafanikisha mambo yote aliyofanya Yosefu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Potifa alipoona kuwa BWANA alikuwa pamoja na Yosefu na kwamba BWANA alimfanikisha kwa kila kitu alichokifanya,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Potifa alipoona kuwa bwana alikuwa pamoja na Yusufu na kwamba bwana alimfanikisha kwa kila kitu alichokifanya,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana wake akaona ya kwamba BWANA yu pamoja naye, na ya kuwa BWANA anafanikisha mambo yote mkononi mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Huyo bwana wake akatambua kwamba Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Yosefu, na kwamba ndiye aliyeyafanikisha mambo yote aliyofanya Yosefu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana wake alipoona, ya kuwa Bwana yuko pamoja naye, nayo yote, anayoyafanya, Bwana anayafanikisha mikononi mwake,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana wake akaona ya kwamba BWANA yu pamoja naye, na ya kuwa BWANA anafanikisha mambo yote mkononi mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule bwana wake akatambua kwamba Yawe alikuwa pamoja na Yosefu, na kwamba ndiye aliyefanikisha mambo yote Yosefu aliyofanya.