Genesis 4:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kaini akamwambia Mwenyezi-Mungu, “Adhabu yangu ni kubwa mno; siwezi kuistahimili.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kaini akamwambia Mwenyezi Mungu, “Adhabu yangu ni zaidi ya ninavyoweza kustahimili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kaini akamwambia Bwana, Adhabu yangu imenikulia kubwa, haichukuliki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kaini akamwambia Mwenyezi-Mungu, “Adhabu yangu ni kubwa mno; siwezi kuistahimili.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kaini akamwambia BWANA, “Adhabu yangu ni zaidi ya niwezavyo kustahimili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kaini akamwambia bwana, “Adhabu yangu ni zaidi ya niwezavyo kustahimili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kaini akamwambia BWANA, Adhabu yangu imeniwia kubwa, haichukuliki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kaini akamwambia Mwenyezi-Mungu, “Adhabu yangu ni kubwa mno; siwezi kuistahimili.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, Kaini alipomwambia Bwana: Manza zangu ni kubwa, haziwezekani kuondolewa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kaini akamwambia BWANA, Adhabu yangu imenikulia kubwa, haichukuliki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kaina akamwambia Yawe: “Azabu yangu ni kubwa sana. Siwezi kuivumilia.