Genesis 4:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Kaini akaondoka mbele ya Mwenyezi-Mungu, akawa anaishi katika nchi ya Nodi, upande wa mashariki wa Edeni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Kaini akaondoka mbele za Mwenyezi Mungu, akaenda kuishi katika nchi ya Nodi, mashariki mwa Edeni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kaini akatoka mbele za uso wa Bwana, akakaa katika nchi ya Nodi, mbele ya Edeni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Kaini akaondoka mbele ya Mwenyezi-Mungu, akawa anaishi katika nchi ya Nodi, upande wa mashariki wa Edeni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Kaini akaondoka mbele za BWANA akaenda kuishi katika nchi ya Nodi, iliyoko mashariki ya Edeni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Kaini akaondoka mbele za bwana akaenda kuishi katika nchi ya Nodi, iliyoko mashariki ya Edeni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kaini akatoka mbele za uso wa BWANA, akakaa katika nchi ya Nodi, Mashariki mwa Edeni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Kaini akaondoka mbele ya Mwenyezi-Mungu, akawa anaishi katika nchi ya Nodi, upande wa mashariki wa Edeni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Kaini akatoka machoni pa Bwana, akaenda kukaa katika nchi ya Nodi iliyoko ng'ambo ya Edeni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kaini akatoka mbele za uso wa BWANA, akakaa katika nchi ya Nodi, mbele ya Edeni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Kaina akaondoka mbele ya Yawe, akaenda kuishi katika inchi ya Nodi, upande wa mashariki wa Edeni.