Genesis 4:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kaini akalala na mkewe, naye akapata mimba, akamzaa Henoki. Kaini akajenga mji akauita kwa jina la Henoki mwanawe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kaini akakutana kimwili na mkewe, naye akapata mimba na akamzaa Idrisi. Wakati huo Kaini alikuwa anajenga mji, akauita Idrisi, jina la mtoto wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kaini akamjua mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Henoko; akajenga mji akauita Henoko, kwa jina la mwanawe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kaini akalala na mkewe, naye akapata mimba, akamzaa Henoki. Kaini akajenga mji akauita kwa jina la Henoki mwanawe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kaini akakutana kimwili na mkewe, naye akapata mimba na akamzaa Enoki. Wakati huo Kaini alikuwa anajenga mji, akauita Enoki jina la mtoto wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kaini akakutana kimwili na mkewe, naye akapata mimba na akamzaa Idrisi. Wakati huo Kaini alikuwa anajenga mji, akauita Idrisi jina la mtoto wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kaini akamjua mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Henoko; akajenga mji akauita Henoko, kwa jina la mwanawe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kaini akalala na mkewe, naye akapata mimba, akamzaa Henoki. Kaini akajenga mji akauita kwa jina la Henoki mwanawe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kaini akamtambua mkewe, akapata mimba, kisha akamzaa Henoki. Naye Kaini alipojenga mji akauita huo mji kwa jina la mwanawe Henoki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kaini akamjua mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Henoko; akajenga mji akauita Henoko, kwa jina la mwanawe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kaina akalala na muke wake, naye muke wake akapata mimba, akazaa Enoki. Kaina akajenga muji akauita kwa jina la mwana wake Enoki.