Genesis 4:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Henoki akamzaa Iradi, naye Iradi akamzaa Mehuyaeli; Mehuyaeli akamzaa Methushaeli, naye Methushaeli akamzaa Lameki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Idrisi akamzaa Iradi; Iradi akamzaa Mehuyaeli; Mehuyaeli akamzaa Methushaeli; naye Methushaeli akamzaa Lameki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Henoko akamzaa Iradi, Iradi akamzaa Mehuyaeli; Mehuyaeli akamzaa Methushaeli; Methushaeli akamzaa Lameki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Henoki akamzaa Iradi, naye Iradi akamzaa Mehuyaeli; Mehuyaeli akamzaa Methushaeli, naye Methushaeli akamzaa Lameki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Enoki akamzaa Iradi, Iradi akamzaa Mehuyaeli, Mehuyaeli akamzaa Methushaeli, na Methushaeli akamzaa Lameki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Idrisi akamzaa Iradi, Iradi akamzaa Mehuyaeli, Mehuyaeli akamzaa Methushaeli, na Methushaeli akamzaa Lameki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Henoko akamzaa Iradi, Iradi akamzaa Mehuyaeli; Mehuyaeli akamzaa Methushaeli; Methushaeli akamzaa Lameki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Henoki akamzaa Iradi, naye Iradi akamzaa Mehuyaeli; Mehuyaeli akamzaa Methushaeli, naye Methushaeli akamzaa Lameki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nenoki akapata mwana, ndiye Iradi, naye Iradi akamzaa Mehuyaeli, naye Mehuyaeli akamzaa Metusaeli, naye Metusaeli akamzaa Lameki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Henoko akamzaa Iradi, Iradi akamzaa Mehuyaeli; Mehuyaeli akamzaa Methushaeli; Methushaeli akamzaa Lameki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enoki akazaa Iradi, naye Iradi akazaa Mehuyaeli, naye Mehuyaeli akazaa Metusaeli, naye Metusaeli akazaa Lameki.