Genesis 4:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Halafu akamzaa Abeli nduguye. Abeli alikuwa mfugaji kondoo na Kaini alikuwa mkulima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baadaye akamzaa Habili ndugu yake. Basi Habili akawa mfugaji, na Kaini akawa mkulima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Akaongeza akamzaa ndugu yake, Habili. Habili alikuwa mchunga kondoo, na Kaini alikuwa mkulima ardhi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Halafu akamzaa Abeli nduguye. Abeli alikuwa mfugaji kondoo na Kaini alikuwa mkulima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baadaye akamzaa Abeli ndugu yake. Basi Abeli akawa mfugaji, na Kaini akawa mkulima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baadaye akamzaa Habili ndugu yake. Basi Habili akawa mfugaji, na Kaini akawa mkulima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Akaongeza akamzaa ndugu yake, Habili. Habili alikuwa mchunga kondoo, na Kaini alikuwa mkulima.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Halafu akamzaa Abeli nduguye. Abeli alikuwa mfugaji kondoo na Kaini alikuwa mkulima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena akamzaa ndugu yake Abeli; naye Abeli akawa mchunga kondoo, lakini Kaini akawa mlima shamba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akaongeza akamzaa ndugu yake, Habili. Habili alikuwa mchunga kondoo, na Kaini alikuwa mkulima ardhi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha akazaa ndugu yake Abeli. Abeli alikuwa mufugaji wa kondoo na Kaina alikuwa mulimaji.