Genesis 4:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ada alimzaa Yabali ambaye alikuwa baba yao wafugaji waishio mahemani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ada akamzaa Yabali; huyu akawa baba wa wale wanaoishi katika mahema na kufuga wanyama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ada akamzaa Yabali; huyo ndiye baba yao wakaao katika hema na kufuga wanyama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ada alimzaa Yabali ambaye alikuwa baba yao wafugaji waishio mahemani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ada akamzaa Yabali ambaye ni baba wa wale walioishi katika mahema na kufuga wanyama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ada akamzaa Yabali ambaye ni baba wa wale walioishi katika mahema na kufuga wanyama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ada akamzaa Yabali; huyo ndiye baba yao wakaao katika hema na kufuga wanyama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ada alimzaa Yabali ambaye alikuwa baba yao wafugaji waishio mahemani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ada akamzaa Yabali; yeye ndiye baba yao wanaokaa mahemani na kufuga nyama.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ada akamzaa Yabali; huyo ndiye baba yao wakaao katika hema na kufuga wanyama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ada akazaa Yabali ambaye alikuwa baba ya wafugaji wanaoishi katika mahema.